.

.
Tuesday, December 18, 2012

10:41 AM
 

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakiimba wimbo wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Kikao cha siku Moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ikiwa ni kikao chake cha kwanza tokea kushika nafasi ya Makamo baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita hivi Karibuni Mjini Dodoma,(kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana.
  Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakipitia ajenda za Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma
  Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini Dodoma.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment