.

.
Saturday, December 8, 2012

1:08 PM
Kipa Bara, Juma Kaseja (kushoto) akiokoa moja ya hatari mbele ya mshambuliaji wa Zanzibar, Khamisi Mcha ‘Vialli’ katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole Kampala leo. Zanzibar ilishinda kwa penalti 6-5, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120,  Bara wakitangulia kupata bao kupitia kwa Mwinyi Kazimoto dakika ya 10 kabla ya Abdallah Othman Ali kuisawazishia Zanzibar dakika ya 85.

0 comments:

Post a Comment