Aliyekuwa m'bunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akihutubia katika moja ya mikutano yake jijini Arusha |
USIKILIZWAJI wa uamuzi wa pingamizi za awali
wa kesi ya rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless
Lema, (CHADEMA), leo inatarajia kujulikana hatma yake.
Rufaa hiyo
inayotarajiwa kusikilizwa mapema leo hii jijini Dar, na majaji watatu
wakiwemo, Natalie Kimaro na Salum
Massati itatoa maamuzi (hatma) juu ya ubunge wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la
Arusha mjini Godbless Lema.
0 comments:
Post a Comment