mwenyekiti wa idea afrika Augustino Namfua ambao ni waandaaji wa
tamasha kubwa la jambo festival linalotarajiwa kuanza oktoba 20-28 katika
viwanja vya kijenge jijini Arusha akizungumza na waandishi wa habari
kuhusiana na tamasha hilo kulia ni meneja wa mauzo na masoko MEGA TRADE
INVESTMENT Gudluck Kway ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo.