.

.
Friday, October 26, 2012

9:40 AM



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Viwanja vya Salama Bwawani kuhutubia Baraza la EID El Hajj,lililofanyika leo .
Picha ya juu na chini Kikosi cha polisi FFU wakitoa heshima kwa Rais wa zanzibar

0 comments:

Post a Comment