.

.
Friday, October 19, 2012

8:12 AM
 Askari wa Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wakimwingiza katika gari muumini wa Kiislamu aliyekamatwa katika viunga vya maeneo ya Iku
baadhi ya waandamanaji waliokamatwa wakiwa kwenye gari maalum tayari kwa  Safari ya kuelekea Kituo cha polisi Dar
 Barabara ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa zimefungwa na Askari Polisi kufuatia vurugu zilizotokea leo

 Askari wa jiji wakishiriki kikamilifu katika zoezi la kuwakamata watu waliokuwa wamekusanyika kwa nia ya kutaka kuandamana katika eneo la Kariakoo
  Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki
   Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake ikiwa imeimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika mitaa ya Kariakoo leo
   Wanajeshi wakivinjari katika mitaa ya Kariakoo leo
   Ulinzi uliimarishwa na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika mitaa ya Kariakoo leo
  Magari ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa katika doria katika barabara yaMsimbazi ambako kulitokea vurugu zilizosababishwa na waislamu waliotaka kuandamana. 
Picha zote na Happiness Mnale

0 comments:

Post a Comment