
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Vunjo-TLP Augustine Lyatonga
Mre ma Muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
![]() |

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na
wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro.
![]() |

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na
wananchi baada ya kuwasili wilayani same Kilimanjaro.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wilayani same Kilimanjaro.
Picha asilia yetu blog
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.