Taarifa kutoka
http://networkedblogs.com/DFxGK zimeamplfy kwamba hizi picha ni za watu
sita wafuasi wa Sheikh Ponda waliokua wakiandamana kwenda Ikulu WATU
sita waliokuwa na nia ya kuandamana kuelekea Ikulu lakini
imeshindikana baada ya polisi kuwakamata.
Waandishi wa habari ambao wapo karibu na Ikulu wamesema hawa watu walifika mmoja mmoja kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati ambapo pia waandishi wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa na silaha.

0 comments:
Post a Comment