Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro leo Novemba
15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba
15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
Rais
Jakaya Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa Majaji toka kwa
mwakilishi wao, Jaji Dk Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku
nne wa Majaji uliofanyika katika Hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo
Ijumaa Novemba 16. (Picha Zote kwa Hisani ya IKULU).
Rais Jakaya Kikwete akifunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika Hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo.
Waheshimiwa
Majaji wakimsikilia Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani), wakati wa
kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika jijini Arusha
leo Ijumaa.
Rais
Kikwete akifunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika jijini
Arusha leo Ijumaa. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Mh. Magesa Mulongo, Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mh. Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu.

0 comments:
Post a Comment