Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28, 2012 tayari
kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River
pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki utaozungumzia maendeleo ya miundombinu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
Kenya Jumatano Novemba 28, 2012 tayari kuhudhuria sherehe za ufunguzi
wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa
nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo
ya miundombinu.Kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Kenya,Mh. Batilda –
Salha Burhan.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo
na Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan
(kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28, 2012.Rais Kikwete yupo nchini Kenya
kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa barabara ya
Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya
miundombinu.Wengine Pichani ni Rais wa Kenya,Mh. Mwai Kibaki (katikati)
na Rais wa Burundi,Mh. Nkurunzinzah.
Wakati wa Wimbo wa Taifa.
Baadhi
ya mawaziri na makatibu wakuu wa Tanzania waliohudhuria sherehe za
uzinduzi rasmi wa barabara ya Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu
wa kilometa 104.4 kwa upande wa Tanzania.
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la nchini Kenya wakiwa kwenye Sherehe hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya
ya Afrika Mashariki wakipata maelezo ya Barabara hiyo itakavyokuwa
kutoka kwa Injinia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika uzinduzi rasmi wa Barabara ya
Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4 kwa upande
wa Tanzania.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya
ya Afrika Mashariki wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi wa
Barabara ya Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4
kwa upande wa Tanzania.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya
ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
waliofanikisha ujenzi wa barabara ya Arusha – Namanga – Athi
River.PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment