Wasanii wa moja kati ya Vikundi vinavyoshiriki Tamasha la ngoma za Asili za makabila ya watu wa Mkoa wa Mtwara la MaKuYa wakifanya onyesho la Ngoma katika Uwanja wa Nangwanda Mjini Mtwara. Tamasha hilo la Siku mbili limevuta hisia za wakazi wengi wa mji wa Mtwara.

Wasanii
wa moja kati ya Vikundi vinavyoshiriki Tamasha la ngoma za Asili za
makabila ya watu wa Mkoa wa Mtwara la MaKuYa wakifanya onyesho la
Ngoma katika Uwanja wa Nangwanda Mjini Mtwara. Tamasha hilo la Siku
mbili limevuta hisia za wakazi wengi wa mji wa Mtwara.
Tamasha
la Ngoma za asili la makabila ya mkoa wa Mtwara Maarufu kama Tamasha la
MaKuYa limeanza rasmi, huku vikundi mbalimbali vya sanaa vikonyesha
umahiri mkubwa katika kucheza ngoma za asili za makabila yao.
Tamasha
hilo ambalo mwaka huu lilianza kwa maandamano kutoka katika viwanja vya
mashujaa kwenda Uwanja wa Nangwanda maarufu kama uwanja wa Umoja mjini
Mtwara limevuta hisia za wakazi wengi wa mji wa huo na vitongoji vyake
ambapo licha kuwepo kwa jua kali lakini watu waliendelea kumiminika
uwanjani kushuhudia wasanii wakisakata ngoma mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment