Tofauti na ilivyozoeleka ambapo hushuhudiwa FFU wakitumika kusambaratisha mikusanyiko ya watu wenye lengo la kuhatarisha amani, askari hao walitolewa kwa nguvu kwenye nyumba hizo na wafungwa hao ambao wanadaiwa kutoa vyombo vyao nje.
Tukio
Taarifa zinadai FFU hao ilibainika kuwa hawakupaswa kuishi katika nyumba hizo, badala yake polisi wa kawaida ndio waliopaswa kuishi, hivyo waliondolewa ili polisi hao waingie.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alipoulizwa na gazeti hili alikiri kutokea kwa tukio
Habari zaidi zinapasha kuwa tukio
“Ilikuwa
saa 5:00 asubuhi ndipo alikuja bosi wetu (jina tunalihifadhi) akiwa na
wafungwa, wakavunja milango ya nyumba za hao jamaa (FFU) na kutupa vyombo vyao
nje,” kilieleza chanzo chetu.
Habari
zaidi zimedai kuwa kigogo huyo mwenye cheo kikubwa alitumia mbinu hiyo
kuwadhalilisha askari hao jambo linaloelezwa kuwasononesha FFU hao, huku polisi
wengine wakipoteza morali wa kufanya kazi.
“Tuna mahakama zetu za kijeshi, kwa nini asitumie utaratibu huo kama hawakuingia kihalali waamriwe kutoa vitu vyao nje kwa njia ya kistaarabu badala ya kuwadhalilisha hivyo?” alihoji askari mmoja aliyeomba asiandikwe jinalake kwa sababu za usalama.
Askari mwingine alisema kuwa kitendo cha kutupa vitu nje ya nyumba kwa kuwatumia wafungwa ni kuwadhalilisha polisi.
“Tuna mahakama zetu za kijeshi, kwa nini asitumie utaratibu huo kama hawakuingia kihalali waamriwe kutoa vitu vyao nje kwa njia ya kistaarabu badala ya kuwadhalilisha hivyo?” alihoji askari mmoja aliyeomba asiandikwe jina
Askari mwingine alisema kuwa kitendo cha kutupa vitu nje ya nyumba kwa kuwatumia wafungwa ni kuwadhalilisha polisi.
Alisema
kuwa utaratibu uliozoeleka kambini hapo ni kwamba, polisi akitaka kuhama, aliye
na shida ya nyumba ndiye anazungumza naye, ili kuangalia kama
anaweza kumwachia nyumba husika au la.
chanzo cha habari; mwananchi
0 comments:
Post a Comment